Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

‘Sounds From The Other Side’ sio albamu – Wizkid

Msanii wa muziki Nigeria, Wizkid amekataa ‘Sounds from the other side’ (SFTOS) kuitwa albamu ila bali ni EP(Extended Play) ambayo ina ngoma zipatazo 12 na wimbo mmoja wa bonus.

Wizkid kupitia mahojiano aliyofanya na kituo cha American radio, amesema kuwa SFTOS, sio albamu kama watu wanavyodhani bali ile ni EP, ambayo ilitoka Julai, 14 mwaka huu ikiwa imewakutanisha mastaa kadhaa.

“It’s like a collaboration. Everyone calls it an album, but it’s like an EP…Because it wasn’t like… When I decided to make it like a little record, a friend of mine came into the room with a business partner of his when I was recording, heard the music and said, are you about to put this out for free? They were like hell no. He was like yo, I’m putting my money behind that,” amesema msanii huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW