Habari

Spika Ndugai atuma salamu za rambirambi kwa Dkt Mwakyembe

By  | 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri Dkt. Mwakyembe kufuatia kifo cha mkewe Linah George Mwakyembe kilichotokea usiku wa Julai 15 katika hospitali ya Agha khan.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments