BurudaniUmbea

Star wa Single ya ‘Facebook’ mahututi


Habari kutoka kwa Madiba zinasema kwamba yule bwana mkubwa aliyetoa hit single zilizovuma hapa Tanzania kwa kipindi kirefu za Facebook na Bhampa Side to Side, Dj Cleowiki iliyopita alianguka nyumbani kwake katika eneo la Honeydew kwa kuugua maradhi ya Appendix.

Dj Cleo ambaye alikimbizwa hospitali na mama watoto wake, alifanyiwa upasuaji Jumanne usiku.
‘Nilifikiria kwamba ninakufa kwa jinsi nilivyosikia uchungu mkali tumboni kabla ya kuletwa hospitali Jumatatu. Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nasikitika tu sitaweza kupiga shows kwa muda kutokana na kulazimika kua home kupumzika.’ Cleo alisema.

Dj huyu alitarajia pia kuja kupiga show Tanzania karibuni.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Cleo ameandika:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents