Burudani
Steve Nyerere: Bongo Movie kufutiwa dhambi zote kwa tukio la Irene Uwoya (Video)
Msanii wa filamu Steve Nyerere amedai kitendo alichokifanya Irene Uwoya cha uwalisha watoto yatima siku yake ya kuzaliwa kumewafutia dhambi zote wasanii wa BongoMovie.