Burudani

Steve Nyerere kwenda kumtembelea Muna ‘labda tufukuzwe lakini nimeshamsamehe’

Msanii wa filamu Steve Nyerere amedai kuwa yote ambayo ameongea Muna siku ya jana kuhusu yeye sio ya kweli na tayari ameshamsaheme ambapo amepanga safari ya kwenda kumtembelea akiwa na Wema Sepetu. Mapema jana Muna alidai sio kweli kwamba alimwambia Steve Nyerere msiba ufanyike Mwananyamala kama ambavyo muigizaji huyo alidai.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents