Habari

Taka kugeuka dili, magari ya kukunua yatakuwa yanazunguka mitaani (Video)

Manispaa ya Kinondoni Jumanne hii imesaini mkataba wa ujenzi wa Kiwanda cha mbolea ambacho kitakuwa kinatumia malighafi ya taka laini ambazo zitakuwa zinapatikana majumbani pamoja na katika baadhi ya masoko. Akiongea na waandishi wa habari Jumanne hii Mstahiki Meya wa Kinondoni, Benjamin Sitta alisema mradi huyo utawanufaisha zaidi ya watu 1000 sehemu ya kwanza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents