Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Tanzania hatukutakiwa kuwa omba omba – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania ni tajiri na hatukutakiwa tuwe maskini, ameeleza kuwa hatukutakiwa kuwa omba omba huku akieleza kuwa haikutakiwa tukiwa tunaomba misaada kwa watu wa nje. Tazama video hii akieleza.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW