Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 51 – June 14, 2018
Kikao cha 51, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na mwenyekiti wa Bunge,Andrew Chenge. Angalia kipindi cha Maswali na Majibu leo June 14, 2018.
Bunge la Tanzania: MKUTANO WA KUMI NA MOJA, KIKAO CHA 51- TAREHE 14 JUNE 2018 ASUBUHI
Posted by Bunge la Tanzania on Wednesday, June 13, 2018