Habari
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 58 – June 26, 2018
Kikao cha 58, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge linaongozwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai. Tazama Kipindi cha Maswali na Majibu:
https://www.facebook.com/bungetz1/videos/1071773236322591/?t=453