Michezo

Tetesi za Usajili: Bosi wa Simba atua Yanga, hii inaitwa ‘Mwaga mboga nimwage Ugali’

Muda wowote Wananchi watamwaga Ugali baada ya majirani zao kumwaga Mboga. Inadaiwa Klabu ya #yangasc imeamua kumng’oa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa #simbasc ,Senzo Mazingisa

Hakika huu ni usajili wa Kishindo na usiotabirika, muda mchache uliyopita Senzo alitangaza kujiuzulu na muda wowote ule Wananchi watautikisa usajili wa msimu huu baada ya Mnyama kufanya hivyo hapo jana.

Imeandikwa na Hamza Fumo, Instagram @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents