Michezo

TFF :Vilabu vyote vitawajibika kuiga Simba SC (Video)

By  | 

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Richard Wambura amewaunga mkono wanachama wa klabu hiyo kwa kufanya maamuzi sahihi licha ya kuchelewa kwao katika kuingia katika mfumo huo ambao tayari duniani hutumika.

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Richard Wambura

“Leo nisiku moja muhimu sana kubadilisha soka la Tanzania, tangu klabu ya Simba na nyinginezo kongwe tangu zilipoanzishwa hakujawahi kufanyika napinduzi makubwa kama ambayo yanafanyika leo.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments