Michezo
TFF yatoa maelezo kuhusu jezi za Taifa Stars zenye nembo ya msalaba
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi kuhusiana na jezi za Taifa Stars zenye nembo ya msalaba, ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii.