Tia Kitu. Pata Vituuz!

TNG Squad: “Wasanii wa zamani hawataki kukubaliana na mabadiliko ya muziki, wanaamini wao ni wakubwa kumbe sivyo” – Video

TNG Squad: "Wasanii wa zamani hawataki kukubaliana na mabadiliko ya muziki, wanaamini wao ni wakubwa kumbe sivyo" - Video

Kundi la muziki la TNG SQUAD ambalo lilisifika kutoka mkoani Tanga lililotamba na ngoma mbili kubwa #Bongo.com na #Ring on it kuanzia mwaka 2005 limerudi kwa kishindo.


Wakipiga stori na Bongo5 baadhi ya wasanii wanaounda kundi hilo ambao wamefunguka na kusema kuwa “Wasanii wa zamani hawataki kukubalaiana na mabadiliko ya muziki wetu wa Bongo Fleva, bado wanaamini muziki wao n awao ni wakubwa kushinda wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa,”

Wameongeza kuwa “Hicho ndio kitu kinachowafanya waonekane wanalalamika kuwa wasanii wa sasa wanaharibu muziki wetu kumbe kuna mabadiliko makubwa sana”

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW