Habari

Trey Songz aikana picha anayoonekana akimbusu mwanaume mwenzie

trey1

Muimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.

Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.
Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.

Baada ya kuiona picha hiyo Trey alitumia Twitter kuandika:

trey2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents