Burudani

Trouble in Paradise: Nay wa Mitego amemwagana na mchumba wake?

Hatujathibitisha bado lakini tunahisi kuna ‘trouble in Paradise’. Leo Nay wa Mitego amekuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram na baada ya kuusoma ndani ya mistari (read between the line) tumegundua huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni alikuwa akitarajia kumzalia mtoto lakini mimba ikaharibika.

f474ded6d26b11e2a03b22000a1f92d6_7

Nay ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Munisi, ameanza kwa kuandika ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966’

2a6e0bd8cd6811e2900c22000a1fb715_7

Baada ya muda kidogo ameandika tena:

Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2. Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’

Tunahisi mambo si mazuri kwenye ulimwengu wa mapenzi wa Nay, Itafahamika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents