Burudani

Tundaman : Sijawahi kumpiga mke wangu

By  | 

Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ameweka bayana kuwa hajawahi kumpiga mkewe na huwa hana tabia hiyo.


Msanii huyo ambaye alioa mwaka jana amekanusha na kueleza kuwa hajawahi kumpiga mkewe kama inavyodaiwa.

“Mie sijawahi kumpia mke wangu we muulize kama nimewahi kumpiga mimi labda huyo ni Tunda mwingine sio mimi,” ameleeza  Tunda kupitia kipindi cha XXL kwenye U-Heard.

Hata hivyo alipohojiwa mke wa msanii huyo naye alikanusha tuhuma hizo  zilizozagaa na kueleza si za ukweli.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments