Twaweza wafunguka kusambaza barua ya Costech na ishu ya kutotambulika (Audio)

Saa chache baada ya Tume ya Sayansi na Teknolojia, (Costech) kusema wamesikitishwa na kitendo cha kusambaa mitandaoni kwa barua waliyowaandikia taasisi ya Twaweza, Meneja wa Utetezi wa Twaweza, Anastasia Rugava amesema hawajahusika kuisambaza hiyo barua kama Costech wanavyodai.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW