Michezo

UEFA SUPER CUP Jumatano hii kule Hispania mambo ni 🔥🔥🔥, mambo ni moto!

Nani atakuwa bingwa ya Super Cup, kati ya Real Madrid na Atletico Madrid Jumatano hii? Usikose mechi hii kali ya mabingwa hawa mawili wakiwania ubingwa wa jumla wa Super Cup ndani ya DStv.

Kumbuka ni  Jumatano hii saa 4 usiku kupitia Supersport 3 iliyopo kwenye DStv pekee kifurushi cha Compact kwa tsh. 69,000 tu!

Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download Application”  ya DstvNow itakayowawezesha Watanzania wengi kufurahia msimu huu wa soka kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na unaweza kutazama katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na televisheni ya kawaida ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada!

Ukiwa Na DStv, soka ni mwanzo mwisho yani Moto hauzimi, na kama sio DStv, Potezea!

Related Articles

One Comment

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents