Michezo

UEFAChampionsLeague: Lukaku, Fellaini waibeba Manchester United (+Video)

Klabu ya Manchester United imeanza safari yake ya kupigania ubingwa wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya vizuri kwa kuitwanga klabu ya FC Basel goli 3-0.

https://youtu.be/zcqD7k8YAl8

Magoli ya Manchester United yametupiwa ‘Manywele’ Maroune Fellaini, Romelu Lukaku na Rashford na kuifanya klabu hiyo kuongoza katika kundi A linaloundwa na klabu ya CSK Moscow na Benfica ya Ureno.

Matokeo mengine kwenye kundi hilo ni kwamba, CSKA Moscow wamechomoza na ushindi wa ugenini wa goli 2-1 dhidi ya Benfica.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents