Michezo

Ufahamu mchezo wa mieleka wa asili unaokua kwa kasi barani Afrika ‘Dambe fight’ – Video

Ufahamu mchezo wa mieleka wa asili unaokua kwa kasi barani Afrika 'Dambe' - Video

Katika moja ya michezo inayopendwa sana duniani kwa sasa ni mchezo wa ngumi au Ndondi, Katika mchezo huu ndio mana tunaona watu wote waliojiingiza kwenye ndondi wanapata umaarufu wa haraka na kufahamika kwa haraka sana hii ni kwa sababu mchezo huu unapendwa na unafuatiliwa sana kwa sasa duniani.

 

Mfano mzuri ni kwa mabondia kutoka Tanzania Hssan Mwakinyo ambaye alicheza pambano moja nje ya nchi na kufahamika kwa haraka sana duniani kote.

Katika mchezo huu wa ngumi vijana wengi wanauogopa hasa kwa kuhofia usalama wa maisha yao, lakini katika mchezo wa mieleka katika bara letu la Afrika haujaenea sana kama ngumi za kawaida au hata mira wa miguu.

Moja ya mchezo unaokua kwa haraka sana hasa katika mataifa ya Afrika Magharibi ni mieleka ya sili na mchezo huu huenda unakua kwa haraka sana aidha ni kwa sababu hatuna miundombinu mizuri ya mchezo huu hasa uwanja wa kuchezea lakini imeonekana kuwa na mvuto sana hasa vijana wengi kujitokeza na kuenda kucheza lakini watu wengi wakienda kuutaza.

Mchezo huo unahusisha wapiganaji ambao wanakuwa wamefunga Kamba katika mikono yao huku wakijaribu kurushiana ngumi na mateke wakiuita Bambe na ukipigana hasa na watu wa jamii ya HAUSA ambayo inapatikana katika mataifa mengi sana kama Nigeria Ghana, Togo, Gabon Niger, Algeria, Chad, Camerron na mengine mengi. Ikielezwa mchezo kukua sana hasa katika

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents