Habari

Uganda yaongoza orodha ya nchi zinazoridhika zaidi kimapenzi

Uganda imeongoza orodha ya nchi duniani ambazo wananchi wake wanaridhika zaidi kimapenzi.

081512-health-std-Gonorrhea-kissing-couple-diseases

Utafiti huo ulifanywa na kampuni inayotengeneza condom, Durex na kuhusisha watu 26,000 kuanzia miaka 16 katika nchi 26.

Katika utafiti huo walibaini kuwa ni watu 44 pekee ndio wanaoridhika na maisha yao ya mapenzi. Uganda, Switzerland na Hispania ndio zimeongoza orodha ya watu wanaoridhika zaidi kimapenzi.

Utafiti huo ulibaini kuwa waganda 5 kati ya 10 hushiriki tendo hilo walau kwa saa moja kila wiki. Hii ilionekana kuwa ni juu zaidi kwa watu kushiriki tendo hilo duniani.

Tanzania haipo kwenye orodha hiyo.

Hii ni orodha nzima:

1. Uganda
2. Switzerland
3. Hispania
4. Italia
5. Brazil
6. Ugiriki
7. Uholanzi
8. Mexico
9. India
10. Australia
11. Ujerumani
12. China

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents