Burudani

Usher kuigiza kama bondia Sugar Ray kwenye filamu mpya

Muimbaji wa R&B wa Marekani, Usher ataigiza kama bondia Sugar Ray Leonard kwenye filamu mpya iitwayo ‘Hands of Stone’.

Sugar Ray Leonard and Usher attend B. Riley & Co. & The Sugar Ray Leonard Foundation Present The 4th Annual 'Big Fighters, Big Cause' Charity Fight Night To Benefit Juvenile Diabetes at Santa Monica in Los Angeles

Muimbaji huyo wa ‘Scream’ amesema amefurahia kushiriki kwenye filamu hiyo kwakuwa amejifunza kupigana na kuboresha mwili wake.

Akiongea kwenye kipindi cha ‘Live with Kelly and Michael’, alisema: “Nimekuwa nikifanyia kazi kwa mwaka mmoja sasa na tumeimaliza. Ni nzuri sana. Nilijifunza kama bondia, sasa hivi nipo vizuri kwenye mikono yangu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents