Aisee DSTV!
SwahiliFix

Utata kifo cha msanii wa The Mafik: Ndugu wadai mwili uliokotwa ukiwa hauna nguo! (Video)

Mjomba wa marehemu Mbalamwezi ambaye ni msanii wa The Mafik amedai taarifa alizoletewa na ndugu wa karibu wa msanii huyo ni kwamba mwili wa marehemu uliokotwa mitaa ya Afrikana ukiwa hauna nguo baada ya muimbaji huyo kutafuta kwa siku moja bila mafanikio yoyote.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW