Burudani

Utofauti katika muziki wa Aslay kwa sasa

Baada ya uongozi wa kundi la Yamoto Band kutoa fursa kwa kila msanii kufanya kazi zake binafsi, msanii Aslay ameeleza mabadiliko katika maisha yake ya kimuziki.

Muimbaji huyo amesema hayo kupitia XXL ya Clouds FM kwa sasa anamiss kukaa na mwenzake kwa muda mwingi kama ilivyokuwa mwanzo na hata kuonana ni kwa mara chache kwa kuwa kila mtu anakuwa buys na mambo yake.

Katika hatua nyingine Aslay ameongeza kuwa si kweli kwamba kwa sasa anatafuta mashabiki wake mpya katika muziki wake kwa sababu alishatengeneza njia nzuri akiwa Yamoto Band

“Nasonga vizuri tu, najiona kuna upya fulani lakini si wa ku-hustle wa kuwafikia tena mashabiki,” amesema Aslay.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents