Burudani ya Michezo Live

Vanessa: Expect a real dance heavy video for ‘Come Over’

Are you ready to see Vanessa Mdee dancing like there is no tomorrow? Then, you better watch out her new music video for her sophomore single, Come Over which she expects to drop this February.

Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Vanessa Mdee amesema tangu aachie wimbo huo amekuwa akijifua kucheza. “Expect a real dance heavy video yaani. Choreography mtaishika mtakuwa mnacheza club,” alisema.

Hata hivyo Vee Money amesema bado ni mapema kumtaja muongozaji wa video yake hiyo.

Katika hatua nyingine, Vanessa amesema kwa muda mrefu alikuwa akitaka kufanya kazi na Nahreel kwakuwa anapenda hip hop, hivyo kufanya naye kwenye Come Over, ilikuwa ni ndoto yake iliyotimia.

“Nahreel is very creative, ana vitu vingi anaweza kufanya so the rest is history I guess,” amesema Vee. “Mimi na Nahreel tunapika vitu vingi infact hivi sasa tupo studio tunafanya vitu vingine.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW