Burudani

Vanessa Mdee asema Bob Junior amemsaidia kuijua zaidi Bongo Flava kwenye ‘Bashasha’

Muimbaji wa Closer, Vanessa Mdee aka Vee Money, amesema kushirikishwa na Bob Junior kwenye wimbo wake mpya, Bashasha, kumemsaidia kuijua vizuri Bongo Flava.

IMG-20131031-WA0000

“Nimejifunza mengi. Bob Junior ni hodari sana. amenisaidia mno kwenye kuexplore Bongo Flava kwa upande huu mwingine and that’s true experience, more to come,” Vee ameiambia Bongo5.

IMG-20131031-WA0001

Vanessa ameongeza kuwa, pamoja na kwamba aina ya wimbo kama Bashasha si nyimbo anazoziimba kila siku, hakupata shinda kwendana beat wakati wa kurekodi. “Bahati nzuri alikuwa ameshatengeneza demo so nilifuata tu na kuweka vionjo vyangu.”

Isikilize Bashasha hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents