Burudani

Vanessa Mdee atua Lagos, kutumbuiza kwenye Gidi Culture Festival Jumamosi hii

Vanessa Mdee na Victoria Kimani ni wasanii pekee wa Afrika Mashariki walioalikwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Gidi Culture Festival jijini Lagos, Nigeria.

11055950_1556770551251147_2084468319_n

Tayari muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ amewasili jijini humo kuungana na wasanii wakubwa wa Nigeria kwenye show hiyo itakayofanyika Jumamosi hii.

Tamasha hilo lililopewa jina la ‘Africa’s Biggest Beach Party litawakutanisha wasanii wengi wakubwa Afrika ambao ni pamoja na Waje, BurnaBoy, Awilo Longomba, Skales, MI, Sean Teasel na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents