Habari

Video: Aliyekuwa mhasibu wa TAKUKURU afikishwa Mahakamani

Aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), Godfrey Gugai, leo hii amefikishwa mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kujilimbikizia mali kinyume na sheria. Tazama video:

Ambapo kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 4 Disemba mwaka huu ambapo Jaji atatoa uamuzi wa kukubali hoja za washtakiwa na kufuta baadhi ya kesi zilizoorodheshwa upande wa mashtaka ambapo utetezi wamedai hazina maelezo ya kutosha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents