Burudani ya Michezo Live

Video: Diamond, Alikiba na Alikiba kimataifa bado, wana changamoto – Amini

Msanii wa muziki Amini amedai licha ya wasanii kama Diamond, Alikiba pamoja na Harmonize muziki wao kwenda kimataifa lakini bado kwenye uimbaji wanachangoto.

Muimbaji huyo ambaye ni zao la THT amedai wasanii wengi bado wanachangamoto kwenye utunzi na kuimba muziki live.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW