Video: Diamond amenipigia, kama tuna tatizo labda la kibiashara -Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa Hip Hip Nay wa Mitego baada ya ukimya wa muda mrefu amefunguka kuyazungumzia mahausiano yake na Diamond Platnumz pamoja na mengi kuhusu muziki wake. Rapa huyo ambaye siku ya jana ameachia wimbo wake mpya ‘Mwaka Wa Roho Mbaya ‘ amedai Diamond bado ni mshikaji wake kama wana tatizo basi ni la kibiashara sio mambo mengine.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW