Burudani
Video: Diamond aniletee hata wajukuu 10 – Bi Sandra
Mama Diamond, Bi Sandra amedai bado anatamani kupata wajukuu wengi zaidi kutoka kwa mtoto Diamond Platnumz ambaye wiki hii alifanya sherehe ya arobaini ya mtoto wake wa nne aitwae, Naseeb JR