Burudani

Video: Dudubaya awachana Amber Lulu na wenzake

Rapper mkongwe Dudubaya ameendelea kuwatetea wanaume kutokana na kauli tofauti tofauti mbaya ambazo zimekuwa zikitolewa dhidi yao. Kutokana na hilo msanii huyo amewachana warembo ambao wamekuwa wakipiga picha za uchi na kuzipost mitandaoni. Tazama video hiyo hapo chini kumsikiliza zaidi alivyowachana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents