Burudani

Zari achaguliwa kuwa Jaji wa Miss Uganda 2018

Zari The Bosslady huwa hataki kupitwa na kila fursa inayokatisha mbele yake – Hasa linapokuja suala la kuingiza mkwanja.

Mrembo huyo amefanikiwa kupata dili la kuwa Jaji kwenye shindano la kumtafuta Miss Uganda kwa mwaka huu.

Kupitia mtandao wa Instagram, waandaaji wa shindano hilo wamethibitisha hilo kwa kuandika, ”The Miss Uganda beauty pageant is proud to announce its first patron and judge for #Missug18 @zarithebosslady 💃💃. Miss Uganda is a celebration of beauty with a purpose to inspire young women to succeed in life.”

”We are also pleased to announce that she will also be a guest speaker at a CSR (corporate social responsibility) activity targeted to young girls organised by the #MissUgandaFoundation. The Miss Uganda pageant is happening on the 10th of August 2018,” wameongeza.

Shindano hilo linatarajiwa kufanyika August 10 ya mwaka huu katika ukumbi wa hoteli ya Kampala Sheraton.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents