Burudani

Snura aingia kwenye anga za Basata, ahojiwa kwa masaa matatu (+video)

Msanii wa muziki Snura Mushi ameingia kwa mara nyingine kwenye anga za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Jumatano hii msanii huyo ameitwa kwenye Baraza hilo kutokana na video yake chafu iliyosambaa mtandaoni inayomuonyesha akicheza jukwaani.

Kikao hicho kimedumu kwa zaidi ya masaa matatu na hata hivyo msanii huyo amekataa kuzungumzia tukio hilo.

Hii ni takribani mara ya pili kwa msanii huyo kuitwa kwenye Baraza hilo ambalo limewahi kufungia ngoma yake ya ‘Chura’.

Related Articles

Back to top button