Burudani

Video: Dullah ataja sababu ya -Chillah kutofika kwenye show

Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Abdallah Hamis Ambua a.k.a Dulla ametaja sababu zilizofanya msanii Q Chilla kutofikakatika tamasha la Heshima ya Bongo Fleva.

Dulla ameimabia Bongo5 kuwa msanii huyo alishindwa kutokea usiku huo kutokana na matatizo ya kifamilia, “Q Chillah ndio mtu wa kwanza kumwambia kuhusu show hiyo, ila kutokana na matatizo ya kifamilia na unajua binadamu hatujakamilika unaweza asubuhi ukaamka mzima, jioni ukapata tatizo,” amesema Dulla.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents