DStv Inogilee!

Video: Eric Omondi ameachia hii Saratina (Sarafina)

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi safari hii amekuja tofauti ameamua kuja na mfano wa story ya movie ya Sarafina, movie ambayo ilifanya vizuri miaka ya nyuma.

Ameipa jina la Saratina angalia hapa chini alafu toa maoni yako.

Related Articles

Check Also

Close
Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW