Habari

Video: IGP Sirro anapaswa anyamaze – Chadema

Mwanasheria wa Chadema, John Mallya amesema kuwa IGP, Simon Sirro hana mamlaka ya kutoa amri kwa wananchi kuwa wajadili nini na wasijadili nini, ameeleza kuwa  mamlaka hayo hana huku  wakisema kuwa yeye anapaswa anyamaze na wananchi, wanasheria, wananchi wa jimbo lake waendelee kujadili tukio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Tazama video hii akieleza:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents