BurudaniUncategorized

Video: Kumzidi Diamond haiwezekani labda afe – Baba Levo

Msanii wa muziki ambaye pia ni Diwani wa Kata wa Mwanga, Kigoma kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, alikuwa mshereheshaji katika harusi ya Shilole na Uchebe iliyofanyika weekend hii Mikocheni jijini Dar es salaam. Baba Levo alisema hayo baada ya rais huyo wa WCB, kumtaka Shilole asema zawadi anayotaka kutoka kwake kama zawadi ya ndoa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents