Video: Lissu mimi ni ndugu yangu – Waziri Mwigulu Nchemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema amewaonya wanasiasa kutumia shambulio la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kupigwa risasi kama chambo la siasa huku akieleza kuwa Mbunge huyo ni ndugu yake:Tazama video hii akielezea pia jinsi wananchi wanavyopaswa kuishukuru serikali kwa kuokoa maisha ya mbunge huyo ambaye yupo Ubelgiji.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW