Burudani

Video: Lupita Nyong’o ashinda tuzo ya muigizaji bora msaidizi wa kike kwenye ‘Critics’ Choice Awards’

Huu ni mwaka wa Lupita Nyong’o. Pamoja na kutajwa kuwania tuzo za Oscar 2014 kama ‘Best Supporting Actress’ jana, Alhamis alinyakua tuzo ya kipengele hicho hicho kwa kuigiza kwenye filamu ya “12 Years a Slave” kwenye tuzo za mwaka huu za Critics’ Choice Awards.

http://www.youtube.com/watch?v=r3-5r_OUm6w&feature=youtu.be

“Thank you. I’m a little terrified,” alisema wakati amepanda kupokea tuzo hiyo.

“I’m so honored to be here and I just want to thank the BFCA for this incredible honor. This has been an incredible year of excellent performances and in my category, I feel so honored to be with the likes of June Squibb and Jennifer Lawrence and Julia Roberts and Scarlett Johansson.”

Lupita+Nyong+o+19th+Annual+Critics+Choice+XLPIJQZIVDEl
Oprah akimkumbatia Lupita kwa hisia

Lupita+Nyong+o+19th+Annual+Critics+Choice+FX1wJjR46F4l
‘I’m proud of you girl’

Pamoja na kutomtaja Oprah Winfrey aliyekua ametajwa pia kuwania tuzo hiyo, Oprah alionekana akilengwa na machozi wakati Nyong’o akipokea tuzo hiyo.

“Ningependa kuitoa tuzo hii kwa mjomba wake ambaye siku zote alikuwa akija kwenye mchezo niliofanya na performances zangu za mwisho aliniona akanimbia ‘Uko vizuri, lakini ngoja tuone Hollywood itakuonaje. Hakuishi kuja kuiona siku hii lakini nina uhakika lazima ajivunie nami.”

Lupita+Nyong+o+19th+Annual+Critics+Choice+qaLyTjEQUvil

Lupita+Nyong+o+19th+Annual+Critics+Choice+5UMy4dp8Hs-l

Lupita+Nyong+o+19th+Annual+Critics+Choice+6Iq__wBawCwl

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents