Tupo Nawe

Video: Maandalizi ya kuuhifadhi mwili wa Pancho yanaendelea Msingisi Gairo

Uchimbaji wa kaburi ukiendelea kwaajili ya kuuhifadhi mwili wa marehemu Pancho Latino kijijini kwao Msingisi Gairo. Mtajarishaji huyo wa muziki alifariki juzi jioni kwa ajali ya maji akiwa katika kisiwa cha Mbudya jijini Dar es salaam.

Ratiba kamili ya mazishi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW