Burudani

Video: Maisha yamekuwa mazuri hata pesa yangu ya muziki naiona – Young Killer

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Wanene Entertainment , Young Killer Msodoki amefunguka kuzungumzia maisha yake mpya ndani ya label hiyo huku akidai kwa sasa anawenza kufanya vitu vya maendeleo kwa kuwa pesa yake ya muziki anaiona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents