Michezo

Video: Mashabiki wa Yanga Sc Live wakiyarudi kwa kutwaa Ubingwa Vpl, 2016/17

Mara baada ya klabu ya Soka ya Yanga kupata ushindi wa goli 1 kwa 0 kutoka kwa klabu ya Toto Africans ya Mwanza, mchezo uliochezwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mashabiki wa klabu ya Yanga wameonekana wakicheza segere Live kusheherekea Ushindi huo unaotoa tafsri ya Ubingwa hapo jana.

https://www.facebook.com/simutv.tz/videos/1215740681886374/

Yanga sasa ina alama 68 katika mechi ya 29 na ambazo zinaweza kufikiwa tu na wapinzani wao katika mbio hizo, Simba SC endapo watashinda mechi yao ya mwisho ya 30 kwa msimu huu dhidi ya klabu ya Mwadui ya Mwanza.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents