Habari

Video : Mazishi ya mtangazaji wa EFM, Seth Katende yalivyofanyika Jumatano hii

By  | 

Jamatano hii majira ya mchana ilihitimishwa safari ya hapa duniani katika makaburi ya Kinondoni ya mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni, Seth Katende aliyefariki siku ya Jumapili katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, siasa, wasanii na watu wengine. Tazama hapa chini video ya tukio hilo .

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments