Burudani

Video : Mimi najitambua – Dully Sykes

Msanii wa Bongo Flava, Dully Skyes ambaye yupo katika muziki huo kwa zaidi ya miaka kumi amaeeleza sababu za yeye kuendelea kuwepo katika muziki.

Akiongea na Bongo5 katika tamasha la Heshima ya Bongo Flava, msanii huyo amesema kuwa sababu ya yeye kuwepo katika mzuki kipindi chote hicho ni kutokana na kujitambua kwake na kujielewa.

“Mimi najitunza najielewa kama msanii, kutengeneza status yako na kujitambua, wasanii wengi hawajitambui. Mimi ninajitambua na ninajua mimi ni nani,” amesema Dully ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Yono’.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents