Habari

Video: Mwanamke alazwa hospitali baada ya kupata mshindo (org**m) wa masaa matatu

Kwa mwanamke wa huko Seattle nchini Marekani, mshindo (kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa) ulimpeleka ahera kwa muda na kisha kumpelekea wodini.

http://youtu.be/wRKvNBZoxVs

Liz alikuwa amemaliza kufanya tendo hilo na mpenzi wake Eric, lakini baada ya kufika kileleni, Liz alikuwa akigota kwenye kilele kipya cha raha. Kwa saa nzima baada ya mshindo huo kuendelea, Liz alianza kuingiwa na hofu. Ilipofika saa la pili hali iko vile vile, mwanamke huyo alipelekwa hospitali na kulazwa labor.

Mshindo wa Liz ulidumu kwa zaidi ya masaa matatu kabla ya kupata afueni.

Wapenzi hao walisimulia mkasa huo wa kushangaza kwenye kipindi cha ‘Sex Sent Me to the ER’ cha TLC Jan 4 mwaka huu.

Liz ambaye hakutaja jina lake la pili anasema alijaribu kufanya kila aina ya njia kuzuia hali hiyo ikiwa ni pamoja na kurukaruka na kunywa kitu lakini haikuisha kabla ya kulazwa hospitali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents