Burudani

Video: Nikiamua kufanya umalaya yafanya kweli – Amber Lulu

Msanii wa muziki, Amber Lulu amefunguka kwa kudai kwamba kuna wakati anaamua kufanya umalaya lakini kwa sasa ameachana na mambo hayo. Muimbaji huyo ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wasanii waliopamba tamasha la Komaa Concert la EFM, amedai kwa sasa ameamua kufanya muziki na kuacha mambo mengine.

Related Articles

27 Comments

  1. Kenge wa madoa doa ww,hlf mkija kuumwa mnaanza kupitisha mchango ati mchangiwe wakati maradhi mnayatafuta mwenyewe yaaani Dada laaana wewe Shetani mwenyewe kasimama yule pale namuona anakushangaa na hilo Bichwa lako jeupe ka Mwiko wa Ugali

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents