BurudaniUncategorized

Video: Nini ameniacha lakini bado nampenda, akitaka kurudi nipo tayari – Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego kwa mara ya kwanza amefunguka kuzungumzia namna alivyoachana na mpenzi wake ‘Nini’. Mrembo huyo ambaye pia bado anadaiwa kuwa ni msanii wa Free Nation label ya rapa huyo, alidai ameamua kumuacha rapa huyo kwa madai amekuwa na michepuko mingi.

Related Articles

4 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents