Burudani

Video: Ojuelegba ya Wizkid yapata shavu kutoka kwa mrembo wa familia ya Kardashian, Kylie Jenner

Alianza Drake, akaja Swizz Beatz na mke wake Alicia Keys na sasa mzuka wa hit ya Wizkid, Ojuelegba umetua kwenye familia maarufu zaidi duniani, The Kardashian.

Mrembo Kylie Jenner na mpenzi wake na rapper Tyga amekuwa staa mpya aliyedata na ngoma ya staa huyo wa Nigeria.

Mtandao wa The Shade Room umepost kwenye Instagram kipande kifupi video kinachamuonesha Kylie akicheza wimbo huo akiwa saloon.

Wizkid ana nafasi nzuri ya kutoboa nchini Marekani kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents