Habari

Video: Walioapishwa na Rais Magufuli Jumamosi hii wanena

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzani, Dkt John Pombe Magufuli Jumamosi hii awaapisha viongozi mbalimbali, Ikulu jijini Dar es salaam.


Viongozi waliopishwa wakila Kiapo cha Uadilifu –Ikulu jijini Dar es Salaam. wakwanza kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Tixon Tuyangine Nzunda, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Rajab Omar Luhwavi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Mtandi Makali, Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro Clifford Katondo Tandari pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Geoffrey Idelphonce Mwambe.(Picha na Ikulu)

Tazama video Rais Magufuli akiwaapisha viongozi hao:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents